Baadhi ya mujasiliamali akipokea cheti kutoka kwa mgeni rasmi katika ukumbi wa RC katoliki singida mjini, hiyo semina imezungumzia mambo mengi ikiwemo kutengeneza batiki, karanga, sabuni ya majivu, sabuni ya maji. washiriki walikuwa ni wengi sana ambao wamejitokeza kushiriki katika semina hiyo ya ujasiliamali .
Post a Comment