M/kiti CCM Mkoa wa Singida, ndugu Juma Kilimba amepata ajali akitumia gari lake binafsi akiwa na familia yake, Mke wake na watoto wawili wamepewa rufaa.

Yeye bado na watoto wawili bado wako hospital ya Wilaya Kiomboi ambapo mtoto mmoja hawezi kusafirishwa hali yake sio nzuri.

Post a Comment

Powered by Blogger.