Showing posts with label Afya. Show all posts

Kuna watu huwa hawana desturi ya kuugua mara kwa mara, tofauti na wengine ambao maradhi kwao ni kawaida. Ili kuepuka maradhi ya mara kwa mar...

Watu wengi huvumilia mkojo kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali. Baadhi wanaweza wakawa katika eneo ambalo hawezi kwenda haja ndogo ...

Nzi wa kawaida wanaopatikana nyumbani na nzi wanaopatikana sana kwenye mizoga huwa na bakteria zaidi ya aina 600, uchunguzi wa DNA umebaini....

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inatarajia kuanza kutoa huduma ya upasuaji mkubwa wa magonjwa ya ini na upandikizaji wa ogani hiyo, baada...

Kumekua na kesi mbalimbali za vifo sababu ya watu kumeza dawa kisha kujisahau na kunywa pombe.hii ni changamoto kubwa sana kwenye sekta ya a...

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child Heart – SACH) ya nchini Israel wamefan...

Kwanza kabisa bangi ni neno ambalo hutumika kuelelezea sehemu iliyokaushwa ya maua, mbegu, mche na majani ya mmea ujulikanao kama Indian hem...
Powered by Blogger.